Morio amepatikana amemanyuria ndani ya lojo

Mambaru Thika wana investigate ngori jamo ambapo morio alipatikana amebugda kwa lojo juu ya kutoa kutu kikombi na mapoko.

Kulingana na Thika Sub County Police Commander Mohammed Kofa, huyo mjango ametambulika kama Joseph Nyutu na ni 45 years, alikua amengafu vector na ndakas, lakini alikua man solo wakivunja doe, na hapakua na signs za sekete.

Lakini kulikua na machupa mbexe za insecticides kando ya bed yake, kumanisha ni kama alijimanyuria.

Wanadai initial reports zinasho alibugda na sumu, but wanategea results za post mortem ndio wakue na riang’ tifi.

Body iko njifri Thika General Kago Hospital mortuary

Comments (0)
Add Comment