Take a fresh look at your lifestyle.
Kenya’s Number One GhettoRadio

Arme ameshandwa na madingo utawala

0 525

Kuna arme ameshandwa kwa suspected robbery mtaa ya Utawala, Tuesday usiku, saa nei hivi.

Kulingana na Manjege, Joseph Mwangi Thitu alikang’wa karibu na Magunas Supermarket yenye iko Eastern By-pass, na mtu utat walikua kwa senke, after walimsho asurrende bag yake.

Alikwara na ndio guangi mjamo akamochoa kidungi na kumshanda.

Machogi walikemba hio cinemaree wanadai after kumnyuria walitoka teke na hio senke wakaishia sides za Mawe Mbili.

- Advertisement -

Hao machogi ndio walimkimbiza hosi.

Wakifika Bristol Park Hospital alikuwa asha bugda, body saa hii iko njifri.

Mambang’a wa stenje ya Oyole ndio wali kemba crime scene na wana investigate.

Wanadai itoka ilimwai na manyu kwa shingo ikatokelezea na mbele

Kwa mbosho mambaru waliget miti 37, tenje na ID za wera, lakini hakuna maganda walirecover kwa scene.

Comments
Loading...