Kenya's No 1 GhettoRadio

Bazu ame attend kesi kwa kotiko akiwa ndethe

0 865

By Nicanory Muhando

Kuna mjango ako kwa kesi ya 4.1 billion za Lake Basin kutimbuliwa, ali attend kesi akiwa ndethe.

Fredrick Onyango Chere kwa Pre trial ya virtual hearing, yaani kesi unabanja online, ali log in akiwa ndethe but amedunga tu vest.

Yeye na former Kisumu county speaker na mbogi ingine wali attend hio kesi mbele ya jajiree Magistrate Douglas Ogoti.

Professor Tom Ojienda ndio alisho jajiko kumng’orea mbona hajadunga tifi, juu kuna design msee anafaa kucladi aki enda mbwenya.

Ogoti alimsho alog out na akadunge mandicla poa.

Jamaa nikama alifikiri hakuna msee anamkemba

Yeye na hio mbogi walikuwa wamechargiwa na kutimbua baroda za kanjo ya Othumo, kama Ksh.4.1 billion

Kesi ita mentioniwa tena 6th may 2021.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More