Kenya's No 1 GhettoRadio

Bazu amepigwa kidi na sanse juu hajadunga mask

0 1,247

Sanse amempiga kidi bazu flani juu hajadunga mask.

Councilor wa tenee wa Kiptoror ward, Barnaba Lagat, ako hosi Moi Teaching and referral yenye iko Eldy, after ridhe kumwai kwa chest na ingine ikamwai mkono ya left.

Hio ngori ili happen jana jioni Kapsigilai trading centre na huyo sanse ni wa stenje iko Kapcherop.

Eye witness anaitwa Daniel Chebet anadai sanse alipiga itoka alikua amewamocho, zilimua arrest akaanza kuhanda wasee akidai anakemba Covid protocols.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/mukuru-imposter-wa-mambaru-ameganda/

Wasee sasa wanataka IPOA kukemba hii situation.

Hio kipindiree ili create tension, wasee walibuya mraia wata revenge.

Leaders wa mtaa wakiongozwa na MP Joshua Kutuny walisanukia hio njiste na wanataka justice imuok tekee.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=8CSEdtp3Hb8

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More