Kenya's No 1 GhettoRadio

Bodies za waniaju zimepatikana kwa roe

0 456

Bodies za waniaju mbexe wenye walienda missing last week zimepatikana kwa roe ziki float.

Zilipatikana River Sagana jana ngware na ni after jamo ilikembwa iki float, ya mbexe ilipatikana jioni.

Wasee waliripoti kwa stenje Kiamachimbi, body ya kwanza ikiwa ya boy alikuwa six years, na ilipelekwa Mocha Karatina.

Hio body ilipatikana jioni ilikua ya boy mwenye ni 4 years.

Mathira West Deputy District Commissioner Jacob Ouma ali confirm hio riba na ati wana investigate wajue wali drown nijea.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More