Kenya's No 1 GhettoRadio

Body Parts Za Dem Alilost Zimepatikana Kwa Shake

0 715

Body parts zinaaminika ni za stude wa colle mwenye alienda missing two months ago, jana zilipatikana kwa shake ya mei village inaitwa Maendeleo, yenye iko Ndaragwa constituency, Nyandarua County.

Inasemekana organs za Florence Wanjiku, kama skull, ribs na pelvic bone, zilipatwa na wakulima wenye walikuwa wana harvest mei kwa hio ngondo.

Kulingana na acting Sub County Police Commander Paul Saitoti , Wanjiku alikuwa stude wa Thika Technical Training Institute na aliripotiwa missing on December 17th last year.

Mwenye alimpeleka na mtaratara ni chief wa Muruai, Mary Muthoni, vile wasee waliget hio body wakivuna mei, skull ikiwa imefungwa kwa sweater colour ya cream lakini hizo parts zingine zimespreadiwa kwa shake

Mambaru kufika scene pia waliget kibenje yake, ma high heels na nguo zake. Pia waliget ID za shosh wake Penina Wangare Murachia nay a mthama wake Dorcas Wairimu Murachia

Hizo organz zilipelekwa Nyahururu Sub-county Referral Hospital kupreserviwa masanse wakiendelea na investigations.

 

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More