Kenya's No 1 GhettoRadio

Boy wa kidato ameganda after kukutwa akichai (Video)

0

Kuna vida ina trend ya boy wa kidato Form 2 Kamiti secondary amekutwa beating moja safi after kupatwa akichai tenje ma area za Kahawa West.

Anadai ako na mbogi ya maboys utat, johhny na teddy,na huwa wanazindonyo kwa first body ako form 4 na anastay getho.

After kuganda yutman ilibidi amewapeana hadi majina za wamatha wao

“Mimi niko form two mwenye sisi hupelekea ako form four. Tunakuwanga watatu,Tunakuwanga Johnie, Teddy na mimi” alidai

Huwa wanadingo matenje siku hizi since hawako chuo na kuzikinda getho kuget mkwanja

 

 

Comments
Loading...