Kenya's No 1 GhettoRadio

Bungoma High wamejenga gate na mita utat

0

Bungoma High School yenye iko Kanduyi Constituency, Bungoma County, wameshangaza wasee after wali launch gate ina cost mita utat.

School Princi, Enock Andanje, anadai ni mapero wenye  walianzisha hio kila mjamo alichota mote mbexe ndio gate ijengwe.

Alidai wasee wasifikiri ni mboka, hio maziwa hadi ilitumika ku construct perimeter wall yenye inazunguka school compound, ku improve security.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/dingo-amegeuzwa-kichungi-ungwaro/

Ati vile hio kidato iko tao, security inafaa kuwa tifin.

Ali adisia hio gate hadi iko na offe ya machogi, washrooms za visitors,  na cell yenye mastude mauru wanafaa kukaa nditni kablaa ya kupelekwa stenje kwa masanse.

Ati design hio gate imejengwa, madingo na mapeddy hawawezi pita asapo.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=Pzw187Nm9cI

Comments
Loading...