Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Candidates Mbeere wamelenga KCPE juu wako kwa mboka ya jaba

0

KCPE ikiendelea siku ya mbexe, candidates 46 wame fail kufika daro Mbeere North kudo paper.

Hio situation imefanya ma officials wa KNEC kubuya.

Kulingana na Director of Education wa Mbeere North Sub-county, Joseph Ngonjo, hao mastude wako registered lakini desks zao zimebaki empty.

Wametry kuwasakanya lakini wapi.

Anadai wanashuaku ngori ni shake za jaba na sand harvesting yaani mangororia wa kujaza mchanga, juu hio ndio mboka mayutman wanajilea nayo.

- Advertisement -

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/baba-dogo-wasee-wamebonda-juu-grao-imenyakuliwa/

Anadai bado wanaendelea kuwasakanya.

Na Embu County, ma candidates utat wana do KCPE wakiwa Embu level 5 hospital, mbexe wameboni vitifi, mwingine ako kwa medication.

By Nicanory Muhando

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=V0XWLg-Ioeo&t=1s

Comments
Loading...