Kenya's No 1 GhettoRadio

Cardi B amenauwo Nganya za Kanairo

0

Cardi B amenyce wasee after alitambua nganya jamo ya Kanairo juu ilikua imechorwa image yake na mbele.

Hii si mara ya fao Cardi B amechachisha isio design, 2017 ali big up nisso inaitwa C’zer juu ilichorwa mboto yake.

Maceleb kibao wa mayolo wamebambika na nganya za 254 juu graffiti.

Actor anaitwa Robert Knepper mwenye alijulikana kama Theodore “T-Bag” Bagwell kwa series ya wanga, Prison Break, pia alibambika na mat ilikua inaitwa T-Bag.

Chris Brown pia inasemekana ananauwo nganya kadhaa za kanairo juu zina mboto zake na design zimesukwa nditni.

2016 Trey Songz akitour Kenya alipanda nganya ya Ronga inaitwa Catalyst yenye ndio ilikua inatesa hio time.

Nganya yenye Cardi B alibig up sio nisso this time.

Nganya za kanairo ni famous juu ya graffiti, vile debe zinachunisha, machair ni comfortable, zina CCTV na ma mbulu.

Lawama lakini ni madonda wanawekewa juu kudondoka na kuhang nayo, na pia ferare lazima ufike bei.

Comments
Loading...