Take a fresh look at your lifestyle.
Kenya’s Number One GhettoRadio
Browsing Category

SHENG NEWS

Certy ya Oscar Sudi ni mbwakni

Principal Examination Sectretary wa KNEC Nabiki Ene Kashu amechapia jajiko wa mbwenya ya anti-corruption Felix Kombo vile Oscar Sudi certy yake ni mbwakni. Anadai walikemba archives zao na wakagundua Oscar Kipchumba Sudi hakudo KCSE

Kanjo wame introduce rules genje

Kanjo wame introduce rules mpya za kumaintain usafi Kanairo. Ziko nditni ya Nairobi City County Public Nuisance Bill, 2021, na isha signiwa na Acting Gavaner Ann Kananu. Kati ya hizo rules, wame ban kublow mapua kama hauna