Kenya's No 1 GhettoRadio

DCI Wamebamba Madingo Hudunga Kama Mangeus

0

Directorate of Criminal Investigations wanasakanya mbogi ya madingo wenye wamekuwa waki terrorise wasee Kuresoi yenye iko Nax.

DCI kwa twittment walidai washa bamba mtu nane wa hio mbogi after kuwasakanya kwa mwezi mzima.

Robbery yao latest ilikuwa kwa bankiko, Transnational Bank, Kiptagich Branch, on Feb tarere 10.

Walikuwa wanatry kuvunja safe ilikuwa na mita 8.5 but walishindwa.

Walikuwa wanajifanya mangeus kwa hio mission kutupanisha mambanga radar.

After kushindwa kusanya hizo maweng, waliraid ma shop za electronics zenye zilikuwa hapo next.

Suspects walibambwa ni Robert Ng’eno aka Musuti, Matthew Kiprono aka Mosquito, Aron Cheruiyot aka Jose na Ronald Kiprono aka Lydia Chebet na ndio leader wa hiuo mbogi.

Wengine ni Dismus Langat, Patrick Kipkori Cheruiyot, Anderson Kirui Kiprotich, Dennis Kirui, aka Millicent na Walter Kipkorir akaViola.

Kuna mmoja alingada, anaitwa Kushoto but anasakanywa.

 

Comments
Loading...