Kenya's No 1 GhettoRadio

Dere anahepa curfew amembonda sanse akanyuria

0

Kuna sanse jana jioni alinyuria after kubondwa na ndai iko teke the Salgaa roadblock Nakuru-Eldoret highway

Huyo mbanga alikuwa ana mann hio road block, na huyo dere alikuwa ako teke curfew isimpate njei juu saa jamo ilikua inaelekea

Nakuru County Police Commander Stephen Matu anadai huyo karau alikuwa ana enforce curfew hio time, na alinyuria on the spot.

Hio ndai ilikuwa inatokea nax, na after hio accident dere alisimama na akapelekwa stenje Salgaa aka record statement na kuwachiliwa na bail.

Ati reason aliwachiliwa ni juu msee hawezi doze stenje saa hii kulingana na measures za ku contain rona mtaani, but wanategea afikishwe mbwenya.

Body ya huyo sanse ilipelekwa mocha na ndai ikavutwa hadi stenje Salgaa

Inasemekana ikielekea saa mmoja madere huwa zinawararu, bado kwa hio baro kuna msee wa nduthi alichotwa na nisso karibu na Simba cement hio magithaa

Comments
Loading...