Kenya's No 1 GhettoRadio

Dingo amegeuzwa kichungi ungwaro

0

Kuna dingo alikangwa na sanse ungwaro after yeye na mbogi yake walitry kumpiga tisa mjango hio mtiech.

Walikua mtu utat, na ilikua jana saa utat magizani saa zile walimkuta huyo mjango.

Jamaa alipiga nduru na ndio masanse wako patrol wakachangamka.

Kulingana na DCI, hao mambanga walikua place inaitwa Kabitu, wakifika scene, hao maguangi ndio walipiga itoka wa first, macopper zika exchangiwa, mjamo akabugda, hao wengine mbexe ni kama waling’ada na ma injuries.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/aspirant-wa-seat-ya-orezo-anadai-ataregesha-death-penalty/

Hao mambang’a wali recover ndenga jamo na mbeg utat.

Msako ya hio mbogi inaendelea, na inasemekana hio mtaa crime imezidi of late.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=2xnPSPsCVP8

Comments
Loading...