Kenya's No 1 GhettoRadio

Dingo amemnyuria dingo mwingine wakidingo

0

Kuna dingo alimnyuria mwenzake wakidingo by mistake, kwa kampu ya engineering Mukuru Kwa Ruben Tuesday morning.

Walikua wamejipin na ma crowbar na mbao wakipiga koto David Engineering company yenye iko rubembe, ndio wakapatana na chogi anaitwa Ondieki mbeteka kuruka.

DCI wanadai huyo chogi aliwakemba wakipanda wall, aka wa warn ata warianyu, lakini wakaendelea kupenya.

Mjamo wa hao madingo mbexe alitry kumstab Ondieki mwenye ali duck, bahati mbaya dagger ilimpata arif kwa macho na akabugda on the spot.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/morio-amendonyo-nyagu-ya-doggy-ndio-anunue-unga-ya-mbese/

Jamaa after kuona amemnyuria arif aliwacha nyoi na kung’ada.

DCI washakemba crime scene na wamekwachu murder weapon iwahelp kumkuta huyo guangi.

DCI wanadai Ondieki ni bazenga na juu ya vile alisho yeye ndio shatta, wata serereka krisi kimoja.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=oDOhVnuCeBk

Comments
Loading...