Kenya's No 1 GhettoRadio

DINGO MOST WANTED WA WATZ GANG AMEBAMBWA NAX

428

Mabeast area code ya Nax wamembamba yutman ako 23 years mwenye ndio mbwakala ya  mbogi wanajinauwo kama WaTZ gang, group ilimonchoka kutoka kwa ‘Confirm’ gang, yenye bado ndio mashotta ghetto za Nax.

Nakuru County Police Commander Peter Mwanzo amedai Jackson Marucha Obedi Yasin aka Rodgers alibambwa after kupeanwa na mraia ati walikua na ka meeting kwa esto jamo.

Wamekuwa wakisakanywa kwa miezi sasa after kutangaza utitle Nax.

kwa hio meeting hao wengine walihepa kwa mrenga imejaa weapons.

Wamejulikana kwa kuchai wasee matenje, kupiga koto na nyongolo, ambapo wasee kadhaa wamemanyuria.

Kuanzia mapema this year manjege wamekua ridhoo Nax juu crime huko imezidi.

Hizo mbogi hadi zina beef na hao hukutana war.

Maguangi wengine wako wanted ni kama Fadhili, Makaveli, Achugo, Galgalo na Masaiya.

Mambaru wamekajaza watawamaliza hio mtaa.

BY NICANORY MUHANDO

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More