Take a fresh look at your lifestyle.
Kenya’s Number One GhettoRadio

Doky wa Kamote amebonda juu maconmen wanampea compee

0 622

Annah Mutheu, daktari wa kamote Machakos, mwenye ni source kuruka, ameripoti riba kwa stenje KBC yenye iko Tala ati kuna matapeli wanajidai ni yeye, wakiwaosha clients wake.

Huyo witch doctor mwenye ni 42 years, anadai hao matapeli hadi wamekajaza wata mu expose kama hata fika bei. 

Anadai wako kama mtu salasa, na ati hadi wamepost vida yake kwa YouTube na kupeana details mbwakni zake.

Mutheu anadai watu zaidi ya oss wamefika kwake wamebonda ati dawa waliget kutoka kwake ni imboste, hazido any, kumbe wameconniwa.

Anadai hao ma imboste hadi wana accent yake ya kinduli.

- Advertisement -

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/jaque-maribe-exposes-comedian-eric-omondi-as-a-deadbeat-dad/

Huyo empress anadai hadi kuna presenter wa mbulu alitaka services zake chali wake amrudie, lakini alikanjwa kamote imbo.

Hio wera imemjenga tifi hadi anaspin ma SUV za wanga, kama Land Cruiser ile mbichi kwa mako.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=417MSp7nBwg

Comments
Loading...