Kenya's No 1 GhettoRadio

Expectation za ma yut politikali

0

Ma yut wana kuwa described kama generation vibrant ndio wathii wengi ki gethafu ya population waki stand at 60% and yet constitution bado ina go a head na ku dikod ma yut kama generation iko chini ya affirmative action na zile kerned zaa wanyngeree.

Uki cheki state ya ma yut kwa sasa kuna vile desperation haitambui muthii yeyote hata wasee wame chop till ma yuni,mapoko,madonda,wasee wa juakali,ma dropout,watoi wa ma sos ama ma yut wa ghetto.zile ngori zina fanana kama mapacha na ndio ime make it had kwa ma society ku get ma morio and ma empreaz wako na skills zina eza inspire mayut wapienga.

Ma yut for long kuna vile waja tingua 3rd eye kuhusu risto za politiks coz still wana think kuhusu ku elect ma leaders wako na chedazz bila ku mezea passion za hao ma leaders kwa interest za stori zina husu hizo virende nime chambua hapo manyu.

Dis time ma yut still wako na expectation ya wale wasee wana choosiwa na ma votes mob vsia vii wale wathii wame sota kuruka.mayut lazima wa put stake yao politikali kwa zile ma idea wana dikod zina eza bring ma dema kwa table zao na pia ku cheki stori zina eza secure watoi wa watoi wenyu.

Ma politician wame change but ma voters kwanza ma vijana bado wame remain walewale,pale pale waku tumia time muthii ana kerende ya kurusha dimanga wakiwa wame katishwa  tei ndio watoe noma na kupayukwa payukwa.

Manze mavijana lazima tudizin ma orogram zina eza tumulikisha mafutani kama hao wasee wana kuom kwako githaa wana dai ku chaguliwa,lazima price ya kijana politikali ipande past hizo za macho nyinyi hudai kutoka kwa hao ma leaders,life ime kuwa ngori hapa kenya while huko maju mavijana wame jii position vii strategic vile gava yeyote lazima iwa sikize wapende wasipende coz wame prove that maisha za mavijana ni past za macho (handouts)

Sita hessitate ku chant ma vijana wale wame chaguliwa kwa ma post za uongozi but hakuna agenda kuhusu ma yut tume sikia wame wakilisha kwa gava za county ama parliant,hao ndio zile samli za ma dealers tuna choose instead ya ma leaders.

Ma ngori za vijana ni mob na solution sio kutingulia ma yut ma carwash ama ku buy ma mkoko kwa wale wana doo wax ya gabarge,mavijana wana potential bigi sana if only wana eza jii mezea ama wakuwe wa consciouss.

 

Na feel disappointment sana ku dikod wale ma yut wana tu represent kwa county cover na national gava wali tu fail coz hakuna mmjadala yeyote wame chapanisha kusu story za ku mitigate unemployment among ma yut wale wame kosa wera na kukalia dimanga mtaani,Wacha ni challenge hawa ma political failure na example za watu kama Malema kutoka country ya south Africa  na movement ya economic freedom fighters dat ili kuwa ina leta solution by ku preasure gava ku make sure wana address stori za wasoti na wale ma yut hawana katitu.

 

Finally mchujo ume kam ma ma chama zime prove dat wana need ma yut ku kuom into ma position za uongozi,kwa sasa hope yangu ni campaign zita kuwa kuhusu vile wata provide weraa kwa ma yut na zile mbinu wako nazo in place,instead ya kukuwa ma fans au ma supporter wa uhunye ama Agwantez…Uki tuangusha kuna vile uta kuwa ume seti time bomb coz stori za ma yut na wera ni kama time bomb that ita ongoja ku limbuka.

 

 

Stori by

Edgar  Ogutu.

Comments
Loading...