Kenya's No 1 GhettoRadio

Family wamejibamba na bash juu son wao amenyuria

0 867

By Nicanory Muhando

Jana kuna familia mtaa inaitwa Kathima, iko Kiegoi, Igembe South, waliweka bash ku cele vile Jadiel Kaberia mwenye alisetiwa warena na wasee wa mtaa hadi kubugda, juu alitry kumnyuria mokoro wake.

Ati the late ndio allikua ame releasiwa kutoka zangaro, Kangeta G.K prison, akamaliza wiki jamo.

Tenee alishawanyuria mziing wake mwenye alikua 60 years, hadi wife wake na mjunior.

Mthama wake, Eunice Nkatha, anadai wamebambika juu son wake alikua sumbua sana, kwanza alibambika juu alitry kumnyuria hadi watasis wake na waniaju wake wengine mbexe.

Anadai wasee wataserereka wiki jamo juu ya son wake kumanyuria, otherwise ingekua hao ndio wamegenya.

Alibambika na maneighbour juu walimchangamkia team building.

Jadiel alikua ameng’oreana na mapero wake juu ya ngondo walimpea, hadi alimweka mpini mzae wake akanyuria.

Inasemekana ni guangi mnoma hadi ako na makesi za kurape madenge hio mtaa.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More