Kenya's No 1 GhettoRadio

FAN WA MANCHESTER UNITED AMENYURIA AFTER KICHAPO NA LIVERPOOL

35

Fan wa Manchester United amenyuria after walichapwa Sunday na Liverpool

Fan mjamo wa Manchester United mtaa inaitwa Lira City, iko northern Uganda, alirianyu mysteriously after ku watch team yao ikinyukwa on Sunday na Liverpool basa mtungi.kwa English Premier League.

Eddy Okello, ni kadere huthikoma mtaa inaitwa Okwor Okwor Cell, iko Lira City East Division, alipatokana amebugda ndakas ya bedroom yake Monday ma aftee.

North Kyoga regional police spokesperson Patrick Jimmy Okema, ali confirm hio riba, akidai  washaanza investigations kujua alimanyuria nijea.

Ati wanstay na mokoro, after kurudi mtaani kuwatch game kwa bukla, matha akamservia keroma akabonda akidai hayuko kinenge.

Aliishia kudoze na the next day wakamget amerianyu.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More