Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Fathela alisetiwa kwa kudefile daughter wake, kotiko imemsaree

0

Julius Wambua, yule fathela riba yake ili air kwa mbulu vile daughter wake alimseti ati alimrape, atawachiliwa kutoka zangaro na cash bail ya mote salasa.

Judgiko alidai kesi itaanza afresh na sentences zote zilifanywa kwa kotiko Kithimani zimechujwa.

Wambua alikua ana serve life sentence after alipatikana guilty kumrape daughter wake 2011.

- Advertisement -

Hio risto ilikua kwa Citizen TV last year na daughter wake akadai hio kesi yote walipanga na mokoro wake.

Ati kuna vile huyo mthama alikua ana plan kuomoka after fathela ame sentenciwa.

Alidai hio time alikua mless na hakua anajinauo, sasa mthama wake aka mcoach vile watamseti budake ati alimpiga miti.

Saa hii amemonchoka na ukwela akidai ana regret hio maneno hadi wakamsunda fathela nditni life imprisonment.

Comments
Loading...