Kenya's No 1 GhettoRadio

Fathela amebambwa juu alikubali mtoi wake kudrive ndai yake

Mambaru Athi River wamembamba fathela mwenye ni 40 years juu alikubali son wake mwenye ni minor kuspin ndai hadi chuo.

Traffic police officers wana mann Mombasa road leo Weno ngware wali notice huyo mniaju akidrive saloon car akiwa amedunga uni.

Akisimamishwa, alikanyaga mafuta teke hadi Athi River Township.

Huyo fathela, Walter Musyimi alikua amekaa kwa co-driver seat na daughter wake mwenye ana miaka basa alikua manyu, pia yeye akiwa amedunga uni.

READ ALSO; Fathela Amedunda Kwa Tank Ya Kampu Ya Gashu Akanyuria

Mambaru walifuata hio mrenga hadi kwa rima private penye hao waniaju wanachopia.

Huyo mjango alibambwa, wakawapeleka wote stenje, baaden mambanga wakapeleka hao waniaju chuo.

Huyo fathela akijitetea alidai son wake amekua akispin ndai miaka mbexe, na anajua kudrive kijiko.

Athi River police boss Mary Njoki amesanukia mapero wanawachia watoi mandai, akidai ni against traffic act.

Comments
Loading...