Kenya's No 1 GhettoRadio

Fathela amebambwa juu ya kuwanyuria mapero wake

0

Kuna fathela alibambwa jana juu ya kuwanyuria mapero wake village inaitwa Muiu Makueni County, juu walikua wamekatsiana juu ya ku inherit shake.

John Nzingu Ndivo ni 70 years, lakini aliwanyuria mapero wake na machete, mzae wake alikua Ndivo Ndolo mwenye ana 102 years, na mokoro wake alikua Katumbi Ndivo na 96 years.

Mzae body ilipatikana kitchen, na ya mokoro ilikua kwa shake ya mei.

Kulingana na Makueni County Police Commander Joseph ole Napeiyan, madent zilikua kwa mdihe, na manjege waka recover tick na mpini zina stains za dibla kwa scene.

Huyo fathela inasemekana tenee alishawahi bambwa juu aliwahi threaten kuwanyuria mapero wake juu ya ng’ondo, but wakamsaree baaden.

Ati ngori ni mzae alitaka kushare ng’ondo yenye ni 36 acres na siblings wote, hadi watasis mbexe, lakini mila za kinduli zinadai magyaldem hawafai ku inherit shake kutoka kwa mapero.

Alijam na mapero wake juu alikua anapeana inheritance kwa watasis wake.

Comments
Loading...