Kenya's No 1 GhettoRadio

Fathela amedunda kwa tank ya kampu ya gashu akanyuria

Kuna employee wa Mumias Sugar Company amemanyuria after alitereza na kudunda ndakas ya chemical tank on Sunday.

Dickson Inganga alikua 54 years, na alirianyu aki treatiwa undergoing St Mary’s Hospital.

Sarrai Group Operations Manager Stephen Kihumba anadai huyo fathela alikua ana clean tank yak u mix gashu.

Familia yake wanasakanya answers kutoka kwa maneger wa Mumias Sugar, juu walipelekwa na mutaratara after body ya mtu wao iko njifri mocha.

Mama wa kwake, Beatrice Inganga, anadai alichapiwa hio riba na mambanga.

Comments
Loading...