Kenya's No 1 GhettoRadio

Fathela amejimanyuria juu ya stress za loan

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Kuna fathela village inaitwa Achego, Muhoroni Sub-county, mwenye ni 46 years, amejimanyuria juu ya kulemewa na loan ya kappa 40.

Philip Oduor ali commit suicide after wasee walimkanja hio loan walimnyafura senke alikwachu na hio loan.

OCPD wa stenje ya Muhoroni David Njoroge anadai huyo fathela ni stress zilimlemea akaamua aende akabanje na sir Jah.

Hio nduthi ilichukuliwa last week Thursday.

Ati juu ya stress, alijitingia kejani na akaamua kukaa kanenge madays.

Kibronje wake, David Opon, anadai Philip aliwachuja familia akadai anataka kustay man-solo.

Hakutaka wamkembe akibugda.

Alitinga kamba kwa ceiling, na kuhang nayo.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More