Kenya's No 1 GhettoRadio

Fathela amemeza sumu after wife kumnyuria mpango wake wa kando

0

Kuna fathela amemeza sumu juu mama wa kwake amemnyuria mpango wake wa kando Kirinyaga County.

Beatrice Anyango mwenye ni 37 years aliwekwa mpini hadi kunyuria na Mary Njeri juu alidai alikuwa ananyemelea mzae wa kwake.

Daughter wake, Alice Akinyi alikuwa ana kemba tu matha wake aki stabiwa.

Hangeweza kumhelp juu pia yeye alitolewa siaka na huyo mama amejaa gas.

Assistant Chief Christina Gathoni Muriithi ame confirm hio riba akidai Mary baada ya hio kipindiree alipanda nduthi na akahepa scene.

Ali adisia huzzy wa Mary, John Simba, hakuamini mistress wake amenyuria, hadi alimeza sumu akitry kujimanyuria.

Alikimbizwa hosi Kerugoya though ako mbaya, na body ya huyo matha imepelekwa mocha mambanga wakiendelea na investigations.

 

Comments
Loading...