Kenya's No 1 GhettoRadio

Fathela amemkuta beating daughter hadi akanyuria

0

Kuna fathela mwenye ni 48 years Muhoroni, Kisumu County, amebambwa na manjege juu alimganda daughter wake mwenye ni 15 years hadi akamnyuria, reason ikiwa alihepa mtaani bila permission yake.

Maurice Owino Owaga alibambwa na kupelekwa stenje Chemelil after kukutwa red handed akitry kuzika body ya hako kapyenga.

Bado ako na daughter mwenye ni 14 years, ako hosi ameganda kutokana na hio beating.

Deputy County Commander Erick Wanyonyi ame confirm hio riba na anadai huyo ngati atafikishwa mbwenya na kuchargiwa na murder.

Ana warn mapero wasiamue war kama purnishment kwa wanajiu, juu stress za rona mtaani ni noma.

 

Comments
Loading...