Kenya's No 1 GhettoRadio

Fathela amemnyuria mama, akatry kujinyuria

0 329

Kuna fathela mwenye ni 40 years , Kuresoi South Sub-County yenye iko Nax, on Sato alimnyuria mama wa kwake alafu akatry ku commit suicide.

Alimkata mama wake mwenye alikua 32 years, Naomi Chebet, na jembe kwa shake, ngware sana hio Sato.

Wamekuwa wakistay kama wamemarika miezi utat pekee.

Chief wa Silibwet Location anadai hao mbexe walikuwa wamechorwa kama mtu wa mkono kwa shake, sasa walikua wameraukia wera time hio noma ili happen.

Mutai alimgonga mama na jembe manyu ya mdihe, alafu akatry kujichinja na dagger.

Inasemekana huyo mzae ni msee machangli kuruka, sasa wanashuku hangdown ilikua inamsumbua.

Ati wife wa tenee alimsepa na waniaju nnei juu ya design yeye humochoa.

Ni yut alikua anapita asapo alikemba jamaa akilia na uchungu after kujichinja kwa shingo, na ndio akapeleka wasee wa mtaa na mtaratara.

 

 

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More