Kenya's No 1 GhettoRadio

Fathela amemnyuria son wake juu ya kunyora kwa bed

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Manjege area code ya Webuye, Bungoma county, wamembamba mjango alimganda stepson wake mwenye ana miaka utat hadi akanyuria, juu alikuwa amenyora kwa bed.

Ati alimkuta beating serious alafu akamsare kwa baro, wasee wakamget leo ngware kama amenyuria.

Wasee wamejaa gas walimvamia mob justice, ni mabeast walimsave asimadwe

Saa hii ako ndani stenje ya Webuye investigations zikiendelea.

Body ya huyo mjuniour imepelekwa Webuye mortuary.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More