Fathela mwenye ni 59-years amejisalimisha kwa njiste Kasa akidai alimnyuria dem wake Zimmerman.

Kulingana na Kasarani area police boss Anthony Mbogo, huyo murder suspect, Wangethi Chege, alifika stenje jana na akasho mambanga kuishia kubeba mwili.

Ati alichapia mambaru alimpata huyo mdenge kwa bukla ya mtaa alafu akamteka.

Ati alimstab mara kibao kwa mdihe na mgongo juu walipofika kejani aligeuka na kuwa ghost.

Ati alibuya juu hio ghost ilikua inadai kumdimbua, ilikua ishaanza kunywaku dibla yake.

Mambanga washapeleka body City Mocha na investigation zinaendelea.

Jamaa ako nditni na walirecover madagger mbexe kama exhibit.

By Nicanory Muhando

November 23, 2022

Written by:

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X
  • http://node-04.zeno.fm/eghcv7h647zuv.aac?rj-ttl=5&rj-tok=AAABduHWWTYATEPfmLjdZktzzA
  • GhettoRadio 89.5FM
  • Radio