Kenya's No 1 GhettoRadio

Fathela ana wish kupelekwa Quarantine juu ya keroma ya bwerere

0 569

Kuna fathela area code ya Kibich amekajaza akidai anaomba wamsunde quarantine KU juu amepelekwa na rieng keroma inaundwa huko ni tamu sana uki compare na quarantine facilities zingine.

Naftali Obiero bado hajafanyiwa tests za rona, but anaomba sana wamtest apatikane positive aende akajinyce na manga imepikwa ki 5 star hotel kwa wiki mbexe za quarantine.

Tests za Covid 19 Mtaani zimefanywa kwa ma ghetto kadhaa zenye ni hotspots kuanzia na ungwaro, alafu easich na Old Town Mombasa .

Akidecode hio riba kwa newsment ya mbulu, alidai ako rada vile quarantine ya KU wana serve ngweks na nyagu ya beef plate imestak fiti

Gava bado inaendelea na mass testing kwa ma slums, chance ya quarantine costs zimesimamiwa na gava .

 

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More