Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Fathela anadai alidefile daughter wake juu ya dry spell

0

Mambang’a wanamsakanya fathela mhala, village inaitwa Matsakha yenye iko Malava, juu ya kumpiga kuni daughter wake madays kibao.

Hako kapyenga ni 12 years.

Nyumba kumi elder Rose Musa anadai huyo mdenge aliwasho huyo buda amekua akipona na yeye since akue 8 years old.

- Advertisement -

Nyumba kumi walikua wamembamba tifi, lakini akang’ada baaden.

Saa zile alibambwa, akijitetea alidai aliamua hio ungati juu wife wake alimtoka na dryspell ilikua mugatha.

Wanjivo John Chebsanyi amedai wanatry kabisa abambwe na ata chargiwa na committing incest with a minor, na hio msee ana weza sentenciwa life imprisonment.

Comments
Loading...