By Nicanory Muhando
CS wa Tourism Peninah Malonza amedai ata introduce training course ya ma beach boys area za coasto ku help ku reduce insecurity uu inatishia tourism.
Alikua anabanja Sato na akadai complaints kibao za walami kuhandwa na mabeach boys na hio inaweza kazia tourism Kenya.
Amedai hio Tourism Management course itakua bwerere na available kwa beach boys kwa campo jamo Kilifi.
Ati watachanuliwa design ya ku recieve tourists na design ya kubanja nao.
Ali adisia hadi wata wajenga na mandicla, ndio msee akikemba uni anawanauwo.
Hadi alitaja 2018 ambapo Italian aid worker Silvia Romano alienda missing Kilifi,na na mabeach boys wako kwa hio kesi.
Ali releasiwa na Al Shabaab 2020 after gava ya Italy na Turkey kuingilia hio riba.