Kenya's No 1 GhettoRadio

Gava kuskumia masufferer na wazae mchwaa juu ya coronavirus

0

Gava imeamua kusendia wazae na masufferer mtaani ganji direct juu wamegundua kuna macartel wamegeuza hio mraa mboka
Agriculture Cabinet Sec Peter Munya anadai kuna mabroker wame take advantage na kujijenga na hio ganji.
Munya alidai wamepelekwa na rieng kuna ma broker wanapita na 50% ya hio monyo
Lakini hakuchapia media ni mafamilia gani watajengwa mchwaa
After rona kutake over, kuna wasee kibao hawana wera
Inaaminika wasee kibao wataumia mtaani
Munya anadai gova iko rada ya kila msee, inajua nani ndio sufferer, na itatumia system yao ku identify nani anafaa kuskumiwa ganji
Alidai gova iko na keroma ya kutosha, sasa wasee wasigwaye
Gava ilikua imerelease 8.5 billion kwa wazae na masafara kwa cash transfer programes yenye huwa kwa ministry of labor.

Kuna pis 500 million yenye itakuwa released kwa wasee wako severely disabled.

Comments
Loading...