Kenya's No 1 GhettoRadio

Gova inasakanya ma cartel wanandonyo damu ya kudonatiwa

0

Directorate of Criminal Investigations wana investigate staff wa Ministry of health after igundulike kuna ma cartel wanandonyo damu ili donatiwa.

Cabinet Sec wa Health Mutahi Kagwe alidai ashapelekwa na mtaratara kuna wasee wamechorwa works kwa hio ministry wanakafunga na damu ya blood transfusion, wanaindonyo njei ya Kenya.

Anadai yeye ndio alivutia DCI na very soon kuna wasee watabamba

Ministry of health ndio iko in charge of blood donations kupitia Kenya National Blood Transfusion Services.

Wamekua waki suppotiwa for 15 years na the US President’s Emergency Plan for Aids Relief, but hio organization ilikanyagia funding.

Walami walikuwa wanashuku kuna vile watu wamegeuza hio program mraa ya kujilea.

Comments
Loading...