Kenya's No 1 GhettoRadio

Guidelines za gova mpya zina target mama mboga na Jua Kali

0

Ma mama mboga mtaani hawafai kukata kata hizo mboga but instead kuzindonyo mzima mzima kwa macustomer, kama njia ya ku prevent rona ku spread.

Kulingana na guidelines mpya za gova, hadi ma hawker inafaa waji organize vile wanakinda stuff, pawe na social distancing na sanitization.

Wasee wa Jua kali wanafaa kila jamo akuwe na work station yake, wasi share tools, na waki share, wazidisinfect

Hadi wasee wa kinyozi na masalon wanachapiwa wamaintain social distance na ma clients wasikuwe kibao

Ma hoteli wanafaa kugeuza mashifts na wasee wana work hapo wasikue kibao

Alafu pia wanafaa ku organizia employees wao staff transport.

Ma biz wanaambiwa wa adopt cashless transaction kama MPESA, wawache madiro open na wa keep track ya ma employee wao

Wasee wengi wa biz wanadai hii inaweza affect cost ya biz, so kuna vile services kadhaa zita hike price

 

Comments
Loading...