Kenya's No 1 GhettoRadio

Hessy wa Dee amemshanda most wanted, na anasakanya mwingine

0 1,295

By Nicanory Munando

Mambang’a wamemkang’a guangi most wanted mwenye inasemekana ni member wa mbogi wamekua wakidingo eastlando.

Kulingana na DCI, huyo suspect anajulikana kama Abbas na mambang’a wanapiga patrol Kangundo road wamekua rada yake.

Alikua amebebwa kwa senke, akashoiwa asimame, alikwara na instead kumochoa kidungi na kuwapiga itoka.

Alishandwa on the spot.

Mwenye alikua ana ride senke alikacha na kuwacha manyu hio nduthi, lakini pia yeye anasakanywa.

Mambaru wanadai wame recover Glock pistol yenye sanse alisanywa tenee, mbegu utat za 9mm, na maridhee zingine.

Wanadai Abbas ana connectiwa na murder kibao mtaa ya Buru, Oyole na Dee, hadi mthama mwenye alipigwa itoka Bangu but aka survive a few months ago.

Hessy wa Dee alikua ame mwarn, na alipost mboto zake akiwa amegeuzwa kichungi.

Sasa Hessy ana warn yut mwingine, arif wa Abbas, anaitwa Borte.

Wanamsho apeane ndeng’a yake kwa chief ama  nyumba kumi, ama watamkang’a.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More