Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Hilarious Memes On How Safaricom Would Use “Sheng” When Sending Subscribers Service Messages

0

CEO-Bob-CollymoreGhetto Radio takes pride as Kenya’s number one Sheng’ radio station. It is an identity.

Sheng language is clearly taking wave in Kenya and as pundits would say, better equip yourself with it,lest you miss out a lot on the present and times to come.

- Advertisement -

In the anticipation that Sheng’ would one day take over, we figured out how local service providers such as Safaricom would fit in when sending service messages to its loyal subscribers;

1.Cheki buda, ka okoa kako kana expire leo, changamkia hako kadeni kabla tukuchuje.
.
2.JLB6MO9ZC, hii story imeconfirmiwa, kuna boys anajiita Wanjohi Gichohi amekurushia tenga mbao na kinde, saa moja leo ngware, juu haukua na any, balance yako saai ni KSH.20,010.00.
.
3.Oyaa msee wetu, tumelemewa kukufanyia io favour ya kukusukumia SMS rwabe hii magidhaa. Tuvutie waya tukuchapie venye kuko.
.
4.Pia mzito kanyangia PIN yako usiwashow raiya juu wengi wao ni team mafisi
.
5.Ooooh, by the way msee asikuvako akakubeba kaa fala, sisi wasee wa saf huvutia wadhii na 0722000000 pekee yake!!….
.
6.Haaaiya umepata izo texts soo mbili ulidai,. Zinaexpire kesho matym kaa ii tu maze…tariff n wezesha
SAFARICOM ILE OPTION GWAAAN!!!

Author:- Mukami Kanyi.

Comments
Loading...