Kenya's No 1 GhettoRadio

INTERNATIONAL YOUTH DAY – SHENG VERSION

0

INTERNATIONAL YOUTH DAY

12TH AUGUST 2020.

 

 SHENG VERSION.

By edgar Ogutu

Sheng content creator,writer and youth mentor.

  International youth day ime holdiwa leo weno date mbexxe na kinde hii month ya august,Shugli ime organiziwa na ofee ina shuglikia empowerment na mentorship za mayut kwa ma geto area code za the link youth empowerment through support ya bigi sana kutoka kwa gava254 na ma sponsaree ikiwemo wathamini ki maendeleo,na pia ofee zingine kuwa frontline kuchanua mayut story zaku kachora ki life na kucheza safe ikifika ni stori za ku make choice zaki afya.

Shugli ime holdiwa Githurai 44 kwa youth empowerment centre brandi that iko hapo kwa monjivu wa hizo ma area.

Wathii ma yanki wana face ngori mob zaivity na struggle za hapa kule pia zime kalia mavijana vindialala.

Zile ngori tume dikod zina chekeshea mayut ngori na kufanya wa sote ni kama vile ime chapanishiwa hapa especially hii time ya covid19 mtaani,na pia effect za ma lockdown magizani pia zime contribute sana kwa hizi risto tume chapa nisha hapa.

 

Ngori za covid 19 Na international youth day.

 

                        . wasee kuchujwa ma wera cozof covid19

. ma biz mtaani zime tingwa na mob zina struggle.

. Mayut wengi wana chizi juu ya reality za life na

Na pia depression iko juu vi noma sana.

. mayut ku lack ma safe space za ku hustle,za ku-

Endelea na kupiga mboka za day to day kwa ma

Youth group juu ya sheria kuhusu stori za social

Distance.

 

Preassure za mneti na ma hype za social media zina tupanisha ma yut especially hii githaa ya covid 19 info kibao zina tembea huko ni za mtupe msanye ama wangongaji na mayut wengi wame kuwa ma victim wa kukosa safe space za kukemba ama ku access info correct kwa mneti.

 

Ngori za mayut kujiunga na ma mbogi ngoro ngori za kuchafua na kupigana ngeta na wizi kutumia vizibo hatari kama nyoi na thuao pia zime ripotiwa ku increase kwa wingi,hii ni kulingana na research Ime pigwa na shirika la PPI na the LINK youth empowerment network pia ime dikod kuna increase kwa numba za ma yut kukosa huduma za reproductive health,Na juu ya ma hosi kukulia ma yut vako statistics kwa hio research ina 20% ya ma teeni especially gal child wame shikishwa handi kwa ku get ma dumbo za mapema kwanzia April na june 2010,alafu covid19 ime ongezea ngori zaidi kwa kufanya shugli za ma organization zile zilikuwa ziki gazawia ma youth info kuhusu stori za behavia change kutinga na kusare ku peleka SRH mtaani ,kwa sasa kuna vile wame chorea movement na sheria za WHO zime pinga watu ku gather mitaani till stori za covid19 zii landi.

 

Mayut wana bigop zile efforts gava ya  254 wana try ku empower na ku create ma nafasi zaku through covid19 kazi mtaani,wana tuma appeal kwa orezo uhunye wa onyatto aweza ku consider wale mayut wako na abilities zingine kama ma community health worker na ma paralegal so that pia kila muse apata share yake upande wa kazi mtaani.

 

Speech prepared in English by

Zacharia khawai

Chairman the link empowerment network

Githurai.

Comments
Loading...