Independent Policing Oversight Authority yaani IPOA, wana investigate vile mdenge alikua na miaka salasa alimanyuria downtown kanairo.
Jackline Mugure Maina alipigwa itoka accidentally na mbang’a wa stenje ya Kamu mwenye alikua anafuata teke guangi alikua anang’ada.
Lakini familia wa huyo dem wanadai mambang’a wanatry kukanyagia hio riba isimulikwe.
Huyo nguna alikutwa na hio mbegu akirudi mtaani ndani ya TukTuk, na body yake iko City Mocha.
Huzzy wake, Ken Ngugi, anadai mambang’a wanatry kuzima hio riba ndio huyo sanse asijulikane ni nani.
Kulingana na statement ya mambaru, huyo nguna aliwekwa mpini na huyo guangi alikua anakacha mambaru.
Autopsy nayo inadai ni ridhe ilimuai kwa shingo