Kenya's No 1 GhettoRadio

Jamaa amejinyuria juu ya stress za ganji

0

Kuna morio ako na miaka salasa area code ikiwa Navakholo, katchmega, aliamua kujimanyuria sato juu ya stress za ganji

Body ya Solomon Ayindi Kataka ilipatikana iki hang kwa Kamba alitinga kwa roof ya keja yake.

Familia yake wanadai Soloo mwenye alikua ndifu wa ma bike, ni majuzi tu alikuwa amekopa loan ya miti 13 kwa sacco flani, sasa walikuwa wanamdai hadi stress zikamzidi.

Mokoro wake, Alice Omwenje Kataka, anadai son wake alikuwa ashakanja kiasi, lakini walikuwa wanamhanda juu ya balance.

Unkule wake, Japheth Kataka Makokha, anadai sasa kulingana na mila za kihala, hio keja yake itabomolewa juu wasee wamejibugda makeja zao kwa boma zinafaa kubomolewa.

Ati ameangusha malion design hata body yake haifai kupelekwa mocha, atazikwa teke teke karibu na place ali commit suicide, wa sahau hio risto.

 

Comments
Loading...