Kenya's No 1 GhettoRadio

Jamaa Amekwara Kumpeleka Wife Na Mtoi Hosi Juu Church Imedai

0

Kuna morio village inaitwa Ramoya, Ndhiwa constituency, ame arrestiwa juu alikwara hawezi peleka mama wa kwake na son wake hosi juu ni Babylon system na dini yake haitambui hio

Andrew Anyona Were ni member wa church inaitwa Legio Maria, na alibambwa jana jioni juu ya hio ngori.

Mama wa kwake na son wake waliget wasick 2 weeks ago lakini aliwaweka home, akidai Mungu atawaponya

Marela wake wali mu advise awapelek hosi akakwara akidai church yake haitambui ma hosi

Area assistant chief Enos Nyawade anadai saa hizo matha na mtoi walikuwa mbaya sana

Ni ma neighbor walipeleka huyo chief na mtaratara jana jioni, na mambanga wakavutiwa ndio wakambamba

Mama na son wake wamekeimbizwa Ndhiwa Sub County Hospital.

Wako in a comma na huyo morio amepelekwa Ndhiwa Police Station.

 

Comments
Loading...