Kenya's No 1 GhettoRadio

Jamaa amemvunja kuro juu hawaja agree bei

0 585

Kuna mjango aliamua war na poko after walikatsiana bei ya session katikati ya sekete, ame chargiwa na assault na ku cause bodily harms.

Leonard Yamuremye ana accusiwa on June 29th alimganda huyo sex worker akiwa kwa keja ya arif wake mtaa ya Ummo.

Risto ni huyo nguna alikuwa ameenda na arif wake kwa chali mwenye alikuwa amemhost Leonard.

Leonard akamuambia amejengwa room, kama anaweza kubali atoe kutu, huyo poko akakubali, bora morio afike bei.

Walipatana bei na githaa ya session, jamaa aka kanja.

Ngori ilianza saa zile jamaa alipita duration alikanja, ngeus akazusha, jamaa akadai hawezi adisia.

Leonard hapo akaona anagongwa na ndio akamvaa mama

Juu ya hio ngori, alienda stenje Buru kuripoti.

Mambanga walikuwa anataka achargiwe na rape, lakini offe ya director of public prosecutions walikwara wakadai hio ni assault.

Ali deny hizo charges mbele ya judgiko Merissa Opondo wa kotiko ya Makadara, na akawachiliwa na cash bail ya miti mbaula.

Kesi itaendelea September 13th.

 

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More