Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Jamaa Embu tao amesanya ndai akiwa ndethe

0

Embu tao wasee walijikembea cinemaree after mjango ako ndethe mwenye alikua ako waba, alisanya mrenga na kutoka teke nayo.

Haijajulikana ali get aje keys za hio ndai.

After ametoka nayo, mwenye ndai akachapia nduthi gang wamfuate.

Huyo mjango after agundue anafuatwa, alispin hio mrenga hadi kwa parking ya Supa iko Embu na akamonchoka kutoka kwa ndai kama bado inasonga.

- Advertisement -

Chogi wa parking alitry kumuuliza noma ni nini but jamaa alimvaa mavidevu.

Uzuri mbogi ya senke walimuok, lakini pia hao walirushiwa madimanga.

Wali manage kumbamba na kumpeleka stenje, lakini ndai zilikua kwa hio parking zilipasuliwa madirro.

Embu West Subcounty Police Commander Julius Kyumbule amedai huyo morio ako nditni, na wana investigate wajue kama ni fyat.

Comments
Loading...