Kenya's No 1 GhettoRadio

Jamaa kwa kotiko anadai sio yeye thegi, ni twin kibronje

0

Kuna mjango alikwara charges za robbery with violence akidai ni twin bro wake alimseti na ameenda missing juu ya hio nomaree.

Jared Angachi Omusinde alichargiwa na kumpiga tisa Robert Mwangi na kumnyafura tenje ya kama miti das, yenye ilikua kwa mbosho na kuwithdraw ganji miti kinde soo nane, area code ikiwa Kabete kwa mako on August 4th.

Akido hio robbery alikuwa ameji arm na machete.

Bado ana accusiwa alimdingo Dennis Ochieng katululu na mote nnei na punch.

Mtu wamwisho alidingo ni Evelyn Mokeira na akapita na smart phone yake.

Akijitetea, alidai hio tenje alipatwa nayo yenye iko kwa hio kesi, aliibuy.

Mwas naye kwa kotiko anadai aliattackiwa na mtu mbexe na ilikua ngware 5.30, saa hizo wakimuitisha PIN ya MPESA.

Omusinde alisho mbwenya twin bro wake alimsukumia hio maziwa kwa MPESA alafu akahama penye anastay, na hivyo ndivyo walimtrace

Aliwachiliwa na bondiko ya mote punch. Kesi itaendelea August 20th.

Comments
Loading...