Kenya's No 1 GhettoRadio

Jamaa na mama wamemnyuria daughter wao disabled

0

Kuna mjango na wife wake mtaa ya Burnt forest, yenye iko Uasin Gishu wamebambwa, na ni after walikubali kumnyuria daughter wao.

Wanadai huyo mniaju, Victoren Chelagat, alikuwa disabled na haikuwa inaleta shangwe kwa marriage yao.

Ni maneighbour waligundua huyo yengs haonekani kwa muda na vile alikuwa amewabamba, wakaripoti mambo kwa chief wao, Samuel Kibiwott.

Chief aliwatemebela, kuwauliza, wakadai auntiko alimchukua wastay na yeye, lakini kumbe chief alikuwa na mbuner yake, kumvutia akagundua ni makata.

Chief aliendelea kuwa interrogate, alafu baaden wife ndio aliingiza njeve, akamsho vile walimurder daughter wao na kupanda body Shingalo forest.

Hio ilijamisha wasee hio village, walikuwa wanadai team building wagande hio couple.

Ni manjege waliwasave, na kuwapeleka kwa foree wakawasho penye walipanda body.

Wako stenje na wanategea kupelekwa mbwenya Monday next week.

 

Comments
Loading...