Body wa msee wa nduthi mwenye alibebwa na floods akitry kuvuka roe Narok county, hadi kuna vida yake ina trend, imepatikana.

Transmara West Deputy sub- county Commissioner Mohamed Noor Hasan jana alidai huyo mjango alikua anatry kuvuka bridge ilikua imezibwa na wabae Olalui -Kilkoris Road.

Body yake imepelekwa Nyamache mortuary.

Kwa hio vida, huyo morio alikua amekajaza anaweza vuka kwa hio roe, na vile ilikua bwaku, wasee saa hizo wana mu advice asare.

Akianza tu kuvuka alibebwa teke na floods na hio ndio ilikua mara yake ya last.

By Nicanory Muhando

December 29, 2022

Written by:

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X
  • http://node-04.zeno.fm/eghcv7h647zuv.aac?rj-ttl=5&rj-tok=AAABduHWWTYATEPfmLjdZktzzA
  • GhettoRadio 89.5FM
  • Radio