Kenya's No 1 GhettoRadio

Jane Bond anadai ako rada ya warazi

0

By Nicanory Muhando

Private Detective Jane Mugo mwenye alitrend jana after BBC walido documentary yake, amekajaza anakemba comments za wasee kwenye twittment.

Wasee wamempasha kuanzia keroma yake, wagido yenye aliita Hitler, hadi vile ananyorosha mbogi yake ya security ma belt ati ndio wakue strong.

Sasa kwa ma comments wasee walipasha huyo womadeh awache kutubeba ufala, hadi vile ameiva tae kwondo.

Mugo anadai hizo comments ni za warazi hawamtakii, ni vile sir jah amembless.

Jane Mugo aka Jane Bond alimake headlines 2019 after manjege walimuekea wanted juu anatishia clients wake kuwanyuria.

Anadai hajaingiza njeve vile amekua famous juu ya works yake.

Wasee online walipasha hadi BBC juu walikubali documentary kama hio kucheza na vile inachomea wakenya mboto.

Comments
Loading...