Kenya's No 1 GhettoRadio

Joho ame donate ma masks hadi kwa masanse

0

Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ame donate face masks kibao kwa manjege lakini sio ati wazitumie, wahelp kustopisha rona kuspread Coast.
Alimpea Inspector General Hilary Mutyambai jana, na akadai mambaru wanafaa kuzigawa kwa wasee hawana kwa roadblock instead ya kuwabamba
Joho alizidi kuchanua wasee ni muhimu ku kwachu mask juu kesi za rona zinazidi kuongezeka
Ati wana produce masks kibao so wakikemba dere haja vaa inafaa wamjenge jamo badala ya kumdandia
Ali adisia masks ni kwa safety ya mraia, wasee wasifikiri ni utiaji
IG naye alisema hizo masks kwanza atahakikisha mabeast wote wamezidunga, zenye zinabaki watagawia raia, but aka sema kuvaa masks ni compulsory
Alisema karau akikuget hujadunga mask, kulingana na sheria unabambwa udoze zangaro 6 years ama ukanje fine ya miti mbaula

Comments
Loading...