Kenya's No 1 GhettoRadio

Judgiko amekesi chini ya mti ku avoid Corona

0

Judgiko ako duty Milimani jana alikwara kufanya kesi ndani ya court room, instead alichoose ku operate na njei chini ya mtree kwa parking ya mandai.

Hio ndio ilikua design yake ya kujiprevent kuambukizwa Corona.

Senior Resident Magistrate Muthoni Nzibe alifanya session ya mbwenya na the accused, ma lawyer na wasee wengine wote wakiwa njei lakini walinyimwa viti

Ni yeye tu na court assistant na ma prosecutor walipewa viti za plastics.

Kesi kakisonga shida ilikuwa upepo ikipita na madocuments za kotiko, hadi ikambidi judgiko kuzishikilia kwa desk.

Alikuwa hadi na manjege mbexe wenye wamedunga uni manyu yake, na yeye mwenyewe alikuwa amevaa ma gloves za white.

Ministry of health imechanua wasee wajidistance metre moja , sasa kila mara huyo judgiree aliwakumbusha the accused na ma prosecutor wakeep distance wasimuambukize.

Shida ingine ya kukesi njei, ni ma prosecutor na judgiko iliwabidi kushout juu ya noise ya upepo, madush na mandai ziko kwa baro zikipita.

Suspects nao hawakutingwa kwa holding cells za kotiko, walisimama kwa ma corridor za mbwenya lakini mambanga wa Kilimani DCI wakiwa radar yao.

 

Comments
Loading...